Dream League Soccer Special Thread

Ila siku hizi nachezaga Fifa Mod tu
Maana ni la kiukali na graphics zake ni zakipekee
 
Mna jiskiaje apa [emoji28][emoji28]hamieni E football
 
Umekimbia?
Voda ndio mpango mzima haswa ukiupdate iwe ya 4G Tigo wakati mwingine hata mchana inanizingua .

Kwa jinsi mtandao wako ulivyo inabidi online usicheze usiku uwe una cheza mchana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…