Dream League Soccer Special Thread

Link hii DREAM LEAGUE TZ telegram group la dream league
 
Hapo Sawa na kupiga bomu monchwari na kujisifu umeua ,huyo mimi hizo ulizo mpiga ongeza sifuri mbele hiyo ndio dozi ambayo ningempa.
Kama saa hz haupo busy nataka nirudishe goli ulilonifunga jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…