Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
-
- #1,101
Uwe tu shabiki yangu,baaaasi
Sawakama nitakuwa kwamachoma
Zile screenshots zinakuogopesha hadi umeshindwa kuziquote 😂😂😂Ile ilikuwa zamani sana ila kwa sasa hauniwezi tena
Bingwa wako nipo kuanzia sasa ukinitag nipe heshima ya cheo cha ubingwa iwe Bingwa/Master@Adriz
Mtandao si ndo unasumbua au fresh?Bingwa wako nipo kuanzia sasa ukinitag nipe heshima ya cheo cha ubingwa iwe Bingwa/Master@Adriz
Twende tukatest
Delle4
Fene mbona umekimbia mmoja ya ubingwa ?Delle4
Delle4
Waambie mashabiki kama wewe kiande ,una Neymar 92 KDB 93 halafu unafeli mimi Neymar wangu na Mane wanapiga kazi halafu hawajafika 90 wakifikia mtu atakula 7
SijaQuit network imekata ?nitaquit vipi wakati nimeshinda na mechi nimeitawala 😂😂