Dream League Soccer Special Thread

Acha kujikita Master na kuchukua cheo changu wakati tokea unizidi siku ya kwanza hujawahi tena na umekua kiande wangu kila siku.
[emoji23][emoji23]

Kimya chako kipo karibu
 
Acha kujiita Master na kuchukua cheo changu wakati tokea unizidi siku ya kwanza hujawahi tena na umekua kiande wangu kila siku.

Lipiganie jina kisha ujiite nado upo levo za kangaloo halafu unajiita Master [emoji23][emoji23][emoji38]
Level za kangaloo [emoji23][emoji23]

Hayo mtusi kabisa hayo
 
Sasa hiyo ligi mda wa kucheza unapangiwa au?
Sijui mimi coz mgeni labda ,nasikia kuna mpk kupanga makundi Singasinga atoe muongozo nimejiunga tu kule maana huku naona naharibu kiwango changu viande wengi .
 
Sijui mimi coz mgeni labda ,nasikia kuna mpk kupanga makundi Singasinga atoe muongozo nimejiunga tu kule maana huku naona naharibu kiwango changu viande wengi .
Utanipa muongozo juu ya hilo basi ukishapata uzoefu

ila naona kabisa nikiingia humo vikombe vyote nitavikusanya mimi
 
Utanipa muongozo juu ya hilo basi,

ila naona kabisa nikiingia humo vikombe vyote nitavikusanya mimi
Kule kuna watu timu nzima wats 97 ,96 halafu mafundi balaa mimi Master wako sikuamini sasa wewe kiande wangu unapata wapi nguvu ya kusema hayo ?
 
Kule kuna watu timu nzima wats 97 ,96 halafu mafundi balaa mimi Master wako sikuamini sasa wewe kiande wangu unapata wapi nguvu ya kusema hayo ?
Mafundi huwa hatuogopi hizo rating, tunaamini uwezo wetu na tupo vizuri kwel

Wew bado kabisa, hiv unajua nikiwa siriasi hata tucheze mechi 10 hupati hata goli 1?
 
Mafundi huwa hatuogopi hizo rating, tunaamini uwezo wetu na tupo vizuri kwel

Wew bado kabisa, hiv unajua nikiwa siriasi hata tucheze mechi 10 hupati hata goli 1?
Twende now acha maneno mengi mimi dozi tu kiande sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…