sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 83
Duuh mi nina diamonds kibao kumbe sizitumii vizuri. Mi kwenye kuwajaza hata sikuwaga nazingatia kuhusu fitness nilikuwa kama ana ana doo tu inayonivutia ndo nachagua, kwanza hata kuwajaza ni mvivu. Wachezaji ninao top class inaelekea ni mm tu sina mbinu za kuendesha team yangu. Ila nilichogundua urefu wa wachezaji ni kitu cha kuzingatia sana ili uwin mipira ya juuKwanza kwenye usajili wa wachezaji Ingia Sokoni ukiwa na at least kuanzia 2000 au 2500 coin hapo utapata mchezaji wa uhakika vilevile angalia mchezaji wachezaji ambao wanaowika Sokoni kwa sasa hao inakuwa rahisi hata ukintumia coach kufika power kuanzia 92% na kuendelea .
Ukisha kipata kikosi chako kamili kutokana na mfumo unaotumia sio lazima uwe na diamond 💎 kumjaza mchezaji maana ukitegemea diamond tupu itakuchukua muda mrefu cha kufanya wewe make hela ikifika kuanzia 2000 sajili mchezaji yeyote kisha mrelease upate coaches wakudelevelop kikosi chako.
Halafu kwenye kujaza kipaumbele kiwe Fitness hapo matokeo ya haraka utayaona uwanjani pambana wapate Fitness kwanza kisha tech baadae . Ukipata diamond tumia zikifika kuanzia 67 chini ya hapo usiutumie kocha wa 32 yule anaongeza power na skills kwa udogo sana.
International cup ushachukua?Shida ni rahisi sana bado hakuna ugumu ww unampga Barcelona 10 bila nadhani wangeeka level of difficult ingekuwa poa
Kwenye kujaza kama una diamonds kiasi hiko tumia kocha wa mwisho anaetaka diamonds 207 kama sikosei .Duuh mi nina diamonds kibao kumbe sizitumii vizuri. Mi kwenye kuwajaza hata sikuwaga nazingatia kuhusu fitness nilikuwa kama ana ana doo tu inayonivutia ndo nachagua, kwanza hata kuwajaza ni mvivu. Wachezaji ninao top class inaelekea ni mm tu sina mbinu za kuendesha team yangu. Ila nilichogundua urefu wa wachezaji ni kitu cha kuzingatia sana ili uwin mipira ya juuView attachment 2463776
Mabeki wa Kati na kiungo wa ulinzi lazima uwe na tolu mmoja ili ubalance timu kwenye mipira ya juu.Duuh mi nina diamonds kibao kumbe sizitumii vizuri. Mi kwenye kuwajaza hata sikuwaga nazingatia kuhusu fitness nilikuwa kama ana ana doo tu inayonivutia ndo nachagua, kwanza hata kuwajaza ni mvivu. Wachezaji ninao top class inaelekea ni mm tu sina mbinu za kuendesha team yangu. Ila nilichogundua urefu wa wachezaji ni kitu cha kuzingatia sana ili uwin mipira ya juuView attachment 2463776
Nenda online ligi huko unakosemea hata mimi naona rahisi na kusingekuwa na online ligi ningekuwa nishalifuta gemu lenyewe maana nishatwaa kila kitu,kwenye online ligi nipo Tier 7 naelekea 6 la mwanzo ni Tier 20 kila ukofikisha point stahiki unapanda daraja.Shida ni rahisi sana bado hakuna ugumu ww unampga Barcelona 10 bila nadhani wangeeka level of difficult ingekuwa poa
Sikimbuki, ila Simple ukitumia techniques kama zangu maana ninatech mpk za kujenga uwanja chap na jinsi ya kumanage Kati ya usajili na ujenzi kuwahi ligi.Ww ulitumia muda gani kufika ligi za juu
Tatizo mm huwa nina vikosi viwili ili kupunguza fatigue na ili ikitokea injury nisipate pengo. Sasa hapo kwenye kuwapunguza baadhi ya wachezaji napata ukakasi kweli yaani. Ila ni kweli kwenye kuwajaza huwa jamaa wanakuchagulia wao inazingua kinyama. Mabeki wa kati nina varane na van djik hao mipira ya juu huwa hawaikosi, mbele ndo nilikuwa nawatumia mbappe na neymar kwenye 22 haikuwa shida ila kwenye 23 jamaa mipira ya vichwa kuiwin ni mbinde kweli ikabidi niongeze haaland na immobile.Kwenye kujaza kama una diamonds kiasi hiko tumia kocha wa mwisho anaetaka diamonds 207 kama sikosei .
Cha kuzingatia ninkuamza kutumia diamonds ukiwa na kikosi chako kamili unachokitaka maana DLS hawakupi fursa ya kuchagua mchezaji wa kumjaza kwa hiyo ukiwa na kikosi ambacho wewe unaona sio kamili ukiclic pale wanachagua wachezaji wowote hivyo hata mchezaji asiye na impact kikosini anaweza kujazwa na kutumia diamonds za bure hata baadae ukimuuza unapata output ndogo ukicompare input za diamonds ulizotumia.
Kama kikosi nado sajili na watoe wachezaji wasio na uwezo kisha ukiwa na kikosi chako cha mauaji tumia diamonds kuongeza fitness utaona maajabu.
Online siipendagi kwa ajili hiyo, ukikutana na mtu anajua au internet yako haiko stable unabondwa kweli kweli.Nenda online ligi huko unakosemea hata mimi naona rahisi na kusingekuwa na online ligi ningekuwa nishalifuta gemu lenyewe maana nishatwaa kila kitu,kwenye online ligi nipo Tier 7 naelekea 6 la mwanzo ni Tier 20 kila ukofikisha point stahiki unapanda daraja.
Huko Online ligi unakutana na watu kutoka kona mbalimbali ndani na nje ya nchi ukiwa wachezaji wako hawana nguvu na hauna uwezo utakuwa unapigwa kama ngoma hata Tier 10 hautoweza kufika.
Sikimbuki, ila Simple ukitumia techniques kama zangu maana ninatech mpk za kujenga uwanja chap na jinsi ya kumanage Kati ya usajili na ujenzi kuwahi ligi.
Naziomba bossSikimbuki, ila Simple ukitumia techniques kama zangu maana ninatech mpk za kujenga uwanja chap na jinsi ya kumanage Kati ya usajili na ujenzi kuwahi ligi.
Kumbe ndio maana unachelewa wachezaj wako kuwa weusi,Kwenye kujaza kama una diamonds kiasi hiko tumia kocha wa mwisho anaetaka diamonds 207 kama sikosei .
Cha kuzingatia ninkuamza kutumia diamonds ukiwa na kikosi chako kamili unachokitaka maana DLS hawakupi fursa ya kuchagua mchezaji wa kumjaza kwa hiyo ukiwa na kikosi ambacho wewe unaona sio kamili ukiclic pale wanachagua wachezaji wowote hivyo hata mchezaji asiye na impact kikosini anaweza kujazwa na kutumia diamonds za bure hata baadae ukimuuza unapata output ndogo ukicompare input za diamonds ulizotumia.
Kama kikosi nado sajili na watoe wachezaji wasio na uwezo kisha ukiwa na kikosi chako cha mauaji tumia diamonds kuongeza fitness utaona maajabu.
@Elijeffrey JeffKumbe ndio maana unachelewa wachezaj wako kuwa weusi,
Unachotakiwa kufanya ni ku-unlock training hadi level 5 ambapo utakuwa na nyota 5 then ktk coaching kiwango cha juu utatumia 157 diamonds tu
Nielekeze jinsi ya kuunlockKumbe ndio maana unachelewa wachezaj wako kuwa weusi,
Unachotakiwa kufanya ni ku-unlock training hadi level 5 ambapo utakuwa na nyota 5 then ktk coaching kiwango cha juu utatumia 157 diamonds tu
Unaenda kule ktk my club ambapo kuna stadium, medical, training, accommodation na vyenginevyo, utaigonga ile training, ku-unlock pia zinahitajika diamondsNielekeze jinsi ya kuunlock
Noted , nafurahi mwanafunzi wangu leo kutoa Madini kea Master wake .Unaenda kule ktk my club ambapo kuna stadium, medical, training, accommodation na vyenginevyo, utaigonga ile training, ku-unlock pia zinahitajika diamonds
Pia ukishaunlock na mifumo itaongezeka
Noted , nafurahi mwanafunzi wangu leo kutoa Madini kea Master wake .
Kwa kuweka kumbukumbu Sawa :Mechi 4 za mwisho haujashinda hata 1
Upo ?Master twende tukakipigee