Dream League Soccer Special Thread

😀😀😀ewaaa kumbe kuna game za kirafiki humu... ngoja nilishushe tena nije nipate kichapo changu nitulie
 
Twende uwanjani….master
unazidi kumponza Fene jinsi unavyomuita Master ,nitahakikisha anapata vya kudhalilisha ili maji yajitenge na mafuta kama nilivyomla dozi mechi 13 kashinda 1 mwaka huu full vipigo.
 
Duh! Ni hatari na nusu tukutane tena morrow
Naaeka rekodi Sawa ya leo , tumecheza mechi 2 nimekupiga zote , kichapo mpaka watu wajue kuwa wewe ni Master Fake.

Mpk sasa mechi 15 au 14 umeshinda 1 Sara 1 na kupigwa zote zilizobaki zaidi ya mechi 10 .

Embu kubali salumu amri nipe heshima yangu kuwa mimi Master hata mwaka jana ulianza makali baada ya kukusurendesha na ukaja humu kukiri kisha ukarudi upya , sasa usipofanya hivyo ni vichapo tu mpk uombe poo.
 
Oy wadau kwema? mbona me nikicheza live wachezaji wanakuwa wazito hata mpira unakuwa slow sana tofaut na nikic lheza ligi na mashndano mengne !! Msaada PLS
 
Njo ucheze na mimi huo mdomo ukuishe na ww
 
Oy wadau kwema? mbona me nikicheza live wachezaji wanakuwa wazito hata mpira unakuwa slow sana tofaut na nikic lheza ligi na mashndano mengne !! Msaada PLS
PLS ndio nini ?Live inategemea na stability ya internet yako , mtandao ukiwa chini wachezaji wanasimana unapigwa kama ngoma au ilinajiQuit na kuonyesha umefungwa..

Solution ..

1.Cheza na muda;kama mimi kuna baadhi ya mida haswa jioni na usiku kuanzia saa 4 hapo nacheza kwa raha mchana na mida ya aaa 1 na 2 usiku inayumba

2.Test laini zako na chagua Moja iliyo na nguvu zaidi ya kimtantandao kuweka salio ukitaka kuplay online,mfano mimi laini ya Voda nikiwa sehemu fulani muda wote ipo stable na play ila nikiwa sehemu fulani ni usiku tu tena mkubwa hapo naweka salio Haloteli kwa ajili ya online game nikiwa sehemu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…