Dream League Soccer Special Thread

Wote humu ni viande tu
Ngoja nikuiitie wanafunzi wangu wakufudishe adabu nijise Master kucheza na mlevi nikalaumiwa kufanya uonevu maana umekuja kwenye uzi huu bila ya adabu wakati Master nipo.

Mimi bora nifungwe na mtu wa mitaani ila inapokuja mwana Jf nafia uwanjani kutetea Umaster wangu.
 
Tafuta siku na muda uje nikunyooshe alafu uje kusimulia huku, maneno mengi ya nini we panga siku
 
Huyo jamaa alinikimbia ali cancel mechi baada ya kumpa kipigo cha nguvu, ndio maana nasema humu wote ni viande sijaona kabisa. Yaani humu mtihani nitakao wapa ni kuzuia nisifunge kuanzia goli 10 nisipo fikisha hizo goli basi wewe umeshinda

Njoo wewe nikupelekee moto ili ufanye kama mwenzako
Poa cheza na Fene kwanza mimi nitarejea kwenye game mwezi panapo majaaliwa nije kusafisha huu uzi ubaki kama kipindi kile nipo active .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…