omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Cheza data ikiwa on utukua unapata Mara mbili ya coin pia uwe anaangalia zile video za promoKwa wale wanaocheza game kama hilo hapo juu naomba mnielekeze namna ya kupata coin nyingi kwa haraka manake nimecheza mechi nyingi lakin coin bado kiduchuuu[emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio haya maaujanja nilikukuwa natumia nguvu nyingi kushinda goal nyingi kumbe kuna huu ujanja.Cheza data ikiwa on utukua unapata Mara mbili ya coin pia uwe anaangalia zile video za promo
Sent using Jamii Forums mobile app