Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali

Headphones sidhani kama "wasukuma washamba" watashuka nazo. Labda wawe hawafahamu kuwa hazitaweza kufanya kazi kwenye vifaa vyao. Zile pini zake zimewekwa tofauti. Actually huwa ziko mbili, kwahivyo huwezi kuichukuwa na kwenda kuitumia kwingine. Ni bora ushamba ukaondolewa kuliko kuacha kuzigawa. Si vyema wote tukose headphones kama ulivyodai kwenye ushauri wako, kwasababu tu ya ushamba wa wachache. Otherwise hongereni wasukuma kwa kujaza Dreamliner.
 

Hata fastjet ilikuwa inajaa kila siku ila hawaja breakeven hadi leo na wana hasara kubwa.Paskali uchumi hauko hivyo, what is important is all about Rate of return, hiyo biashara net after deduction of all operation cost ikoje, syo swala la kujaa, hata mabasi ya UDART yanajaa kupitiliza, uliza hadi leo wana nini,waache wachumi wachambue, what if badala ya kununua dreamliner angewekeza kwenye irrigation infrastruture etc, hiyo ndege mkulima yupi kaijaza.
Paskal nakuheshimu sana be careful
 
Bro mimi huwa naisikiliza ile hotuba yake ya kwanza pale bungeni mara kwa mara, yaani Mh Rais anafanya yale yale aliyoahidi. Wacha watu wapige domo lakini Mzee anamaono na anania ya dhati kuipeleka nchi yetu kwenye uchumi wa kati.
Amefanya kitu gani alichoahidi kwenye hotuba ya bungeni?
 
Paschal unazingua sana na maswala yako ya usukuma usukuma unataka nini mpaka kwenye vipindi vyako vya PPR navyo ni undumilakuwili wa usukuma usukuma naomba ubadilike kwa hili ndugu.

Kwetu sisi ni Rwanda yaliyootokea Rwanda na hapa sitaki yatokee tulikimbia home kwetu kisa ukabila wa tutsi na hutu. Nakuomba sana Paschal huujui ladha ya ukabila ukiingia kuutoa ni shida sana. Mimi nikisikia mtutsi au masai au hawa watu wa asili ya Somalia na Ethiopia damu inachangamka na natamani nishike panga au shoka.

Nakuomba sana paschal achana na ukabila ukabila sio mzuri
 
Unaweka na ukabila tena, mkuu unataka nini.
Ndiyo hivyo taratiibu!Ukimwachia ngamia aingize kichwa hemani, atataka kuingiza na nundu yote!

Dreamliner zinajazwa na wasukuma na hata uchumi ni wasukuma na kila maendeleo ya nchi itakuja kuwa ni wasukuma tu.
 
Dah....ngoja leo nikae kimya...nimsubiri Mzee wa "bwawa"....mwisho wa reli....atasemaje...[emoji87]
 
Hapo sasa.... Wacha tushuhudie mtifuano wa Wasukuma na Membe sasa..

Pembeni tunachungulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…