Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali

Wasukuma kabila la hovyo,

wanaoongoza kwa mauaji ya imani za kishirikina,

wanaongoza kwa ukataji mapanga na mauaji mengine ya kikatili,

wasukuma wanaoongoza kwa kuwa na utamaduni wa hovyo, ambapo baba mkwe au mama mkwe hamheshimu mkwewe.

Kabila ambalo Ngwekwe, inadaiwa kwa nguvu na ikibidi kukunyang'anya kitanda ili usilale na mtoto wao, na ikibidi wanamrudisha kwao kabisa binti yao.

Wasukuma kabila ambalo mtu na mkwe wake kupigana kwa sababu za kijinga ni jambo la kawaida.

Wasukuma ambapo mauaji yakitokea, asilimia 99% ya washirika ni ndugu wa damu na familia moja.

Kabila la ajabu kabisa wasukuma

Nawahurumia wote mliooa usukumani au mnaotarajia kuoa kwa kabila la kishamba sana. Mtapata tabu sana
 
Paskal you are too much for 45 minutes flight, please give as break
 
Pamoja na declaration of interest,haiyumkiniki katika awamu hii msukuma atoe maoni hasi kwa hii serikali.Simaanishi napingana na ulichosema though hata ingekuwa kinyume chake,ama ungekaa kimya au ungesifia pia.Ni wakati wetu,this is Africa bwana.In sukuma tone!
 
Asubuhi ulikuja unalia umeikosa drimu laina jioni hii. sifa kibao sijui upo fungi gani. ila yote kwa yote kande ulizishiba. amira imewekwa kwa wingi.
 
Baada ya ticket za bure Eng. matinde akataka umutamgaze huku ili Jiwe amuone eeh! Hongera kwa kazi nzuri.
 
Lilipokuwa halijai mlikaa kimya! Mnajisahaulisha kuwa hamuelewi kuwa mwezi wa 11 mpaka wa kwanza ni high season yaani ndo kipindi watu husafiri sana kuliko wakati wowote, come january baada ya wanafunzi washarudi shule halafu uje useme dreamliner limejaa week nzima! Hii high season huwa ndo tunazunguka sana kwenda kufunga mizigo dar ili chrismas watu wapate nguo, zawadi etc,
 
Mr. Mayala, nani alikuambia kuwa wote wanaosafiri kwenda Mwanza ni Wasukuma? Unadhani Jiji la Mwanza limejaa Wasukuma? Nilitegemea kuona kwenye andiko lako kuwa maandishi na maelezo yaliyotolewa ndani ya ndege ni ya lugha ya Kisukuma ningekuelewa kuwa Wasukuma ndio waliojaza ndege hiyo. Hivi watu wa familia yako ( nafahamu kuwa kwako wako Wachaga) wakisafiri kwenda kwenu Mwanza nao wanageuka kuwa wasukuma. Huku ni kufilisikia kihoja na kuleta propaganda za kikabila ambazo lengo lake ni kuleta uhasama. Kwa jiyo litendo cha kuchagua ruti ya Mwanza nacho kilifanyika kwa upendeleo wa kikabila?
 

Homgera kwa kuwa Msukuma.
 
Nimependa angalizo lako. Sijaendelea kusoma.
 

Kweli wewe wa raanda tanzania utani wa makabila nibkawaida dana na hakuna anayechukulia serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…