Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali

Koh we point yako n nini hasa? Kusifia kabla lako,kusifia au kumsifia raisi wa kabla lako
Acha kutuletea ukabila humu
 
Bro mimi huwa naisikiliza ile hotuba yake ya kwanza pale bungeni mara kwa mara, yaani Mh Rais anafanya yale yale aliyoahidi. Wacha watu wapige domo lakini Mzee anamaono na anania ya dhati kuipeleka nchi yetu kwenye uchumi wa kati.
Wanao ponda ni Vibendera wachache
Wacha tusonge tu
 
Tengua kauli mkuu, sisi wasukuma ni "WAJANJA" sio washamba ,hilo na wewe kubali kukosolewa Wamwise.
 
Hiyo misifa mimi sioni ajabu maana ktk nchi hii ukabila sasa unakuzwa kwa sababu yoyote ile. Huna kosa maana wenzetu wa KIlimanjaro nao utawasikia wakisifia maji ya Kilimanjaro wakati tuna ufahamu wa wazi juu ya maji ya ukanda ule yanavyoondoa shoo zetu midomoni. Cocacola nzuri kuliko pepsi, lakini ni ile tu inayotengenezwa na Bonite. CRDB benki nzuri sana lakini pale tu KImei ni CEO. Rubish zetu!

Tutagombana juu ya ukanda na makabila hadi kila mmoja atakapoamini hata makabila mengine yana haki ya kupata.
 
Y
Ila kwenye kiswahili we kinachokuuma ni lafudhi? Maana kiswahili ni kile kile hata kama ni lafudhi ya kenya as long as ni sanifu sidhani kama kuna tatizo hapo.

#DG
Yuko sahihi maana huwezi kukuta american english au hata Scottish accent ndani ya tanganzo rasmi la Uingereza. Nooooo!
 
Y
Ila kwenye kiswahili we kinachokuuma ni lafudhi? Maana kiswahili ni kile kile hata kama ni lafudhi ya kenya as long as ni sanifu sidhani kama kuna tatizo hapo.

#DG
Yuko sahihi maana huwezi kukuta american english au hata Scottish accent ndani ya tanganzo rasmi la Uingereza. Nooooo!
 
Y
Ila kwenye kiswahili we kinachokuuma ni lafudhi? Maana kiswahili ni kile kile hata kama ni lafudhi ya kenya as long as ni sanifu sidhani kama kuna tatizo hapo.

#DG
Yuko sahihi maana huwezi kukuta american english au hata Scottish accent ndani ya tanganzo rasmi la Uingereza. Nooooo!
 

Poor thinker., Uchumi wa nchi haupimwi kwa wasukuma kujazana kwenye Dreamliner, bado na wewe unakuja na mawazo ya kitabaka tabaka, msukuma anaweza kufanya kazi wiki nzima hela atakayopata ataenda kuipandia ndege tu.

Tanzania sio kabila wala kijiji, unapotaja Tanzania unaakisi maisha ya watanzania walio wengi sasa. kwa sababu umepata ticketi ya bure then ni lazima uje hapa na kumsifu mtukufu, unaonaje na wewe kesho kutwa ukiteuliwa mkuu wa mkoa si utakuja na mawazo tanzania tumo kwenye firdaus/pepo
 
Wahudumu ni watoto wazuri, wachangamfu na wanavutia, abiria unajisikia raha kuhudumiwa na warembo hao
teh..teh...Hii inahitaji picha na kwa msukuma lazima mwanamke awe mweupe vinginevyo hukuona vizuri na kwa kuwa umeanza nalo nategemea ni weupe!
 
Poti bana.
 
Kwahiyo dreamliner ikijaa Dar es Salaam , hatutokuwa na budi kuwasifu wazaramo kwa kupenda kupanda ndege au?
 
Kwahiyo dreamliner ikijaa Dar es Salaam , hatutokuwa na budi kuwasifu wazaramo kwa kupenda kupanda ndege au?
Dar ni metropolitan City, wenyeji Wazaramo, siku nying waliishasukumiwa kule kwenye peripheries, just like Dodoma, Wagogo sukumia kule, na kuwapisha wageni.

Mwanza sio metropolitan, bado ni ya Wasukuma, japo kwenye kupanda ndege, abiria wengi ni jirani zetu, kina Nshomile, lakini walio wengi ni Bagosha!.

P.
 
Reference ya ukabila has always been the Kilimanjaro people against everybody else in this country. Kwa njia yeyote ile lazima hilo litajwe tu! It's like there's a war against these people from Kilimanjaro. It is true cocacola ya bonite ina ladha nzuri zaidi na sababu ni maji yanayotumika. And it is not that theres something good they want to bring about, ni njia tu ya ku-justify kupata privilege. This is a shame. Will it be any useful to anybody if these people became wrenched lot? And its not that they isolate themselves or are uncooperative. They can settle anywhere. They mary and get married anywhere in this country. But we keep hearing these, as we have in the past! This is a shame. We'll continue fighting each other, and lose out as a country! To our own peril, due to our narrow mindset!! Sad!
 
Nashukuru kwa tahadhari, nimesoma tu UTATUSHINDA
 
We Paskali wewe!
Mimi nawajua sana wasukuma, mlizoea kupanda Dreamliner za asili hasa kwenda Gamboshi mkajua kwamba ndio climax ya maraha. Sasa mzee wa kazi kawaletea Dreamliner la kizungu lenye maraha usipime, kwa nini msichanganyikiwe? Heko sana JPM, heko sana wasukuma!
 
Pascal wewe ni msukuma lakini ni mchagga vilevile kwa hiyo tutakuita mixed racial au half caste!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…