Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali

You are somehow correct and somewhat very wrong! Coca cola ya bonite haiwezi kuwa bora kwa sababu ya maji. Coca cola ni international brand ikifuata standards za kimataifa. Huwezi kuibadilisha radha kwa sababu tu unaichanganyia Kilimanjaro. Hiyo haitakuwa tena Coca cola! Vipi ugomvi wa kuzuia pepsi cola Moshi? Vipi kuzuia maji ya Uhai Moshi? That is not clever, it is the opposite.

La ukabila that is obvious. Tuambizane ukweli ili wachaga wasijione kwamba hatuwafahamu, tunawajua tunawafahamu. Ukabila kwa Wachaga ni moja ya ID yao. That is why Moshi town is degenerating! Moshi, moja ya miji ya zamani, kila leo inapoteza kwa sababu wachaga hawako tayari kukaribisha biashara za kabila jingine. JF tulishajadili, siyo kisiasa! Angalia CRDB ilivyokuwa inatoa mikopo. Kuna wakati mmoja wa mwanashare aliwahi kujivunia CRDB kutoa mikopo mingi kwenye sekta ya mahoteli, sawa! Jambo ambalo hakulisema ni mikopo hiyo kwenda kabila moja, la wachaga. Alistahili aseme sababu ni ipi? Mahoteli ya wachaga yako Mtwara hadi Tarime, lakini hutakuta hoteli ya Mkurya Moshi!! Vita ya kikabila. Wachaga wako hadi visiwa vya ukara kwenye uhaba wa ardi mkubwa kabisa nchini, lakini hutakuta Mpare kwenye kijiji cha wachaga, why?

Ukabila unakuwa ktk nchi hii na unakuzwa na makabila fulani. Sasa kuna watu wa Iringa nao huko serikalini wanajitokeza sana! Mitaani tumeanza kusimuliwa juu ya hizo syndicates za kubebana kushika nafasi za kiserikali! Kwa nini tufiche?? Asiyetaka kukubali binafsi namuona bado ana self appreciation ya kabila lake la wachaga.
 
Watu wakanda ya Ziwa siyo Wasukuma tu. Kuna Wahaya, Wakurya, Wakerewe, Wajita, Wazanaki. Hao hukuwaona ndani ya Ndege? Siku nyingine sema ni watu waendao Kanda ya Ziwa wamejaza Dreamliner si Wasukuma tu.
 

La Coca-Cola fanya research, ndo maana coca ya Bonite imepata tuzo kadhaa za ubora, tofauti na dsm, maji. Siamini kwamba bhakresa amezuiwa kuuza maji Moshi. Mji wa Moshi unakua labda siyo kwa kasi unayoitaka wewe. Sababu ni kwamba watu huja mjini asubuhi na kurudi milimani jioni. Pia unakuwa overshadowed na Arusha, inayokua haraka zaidi na sababu inajulikana. Do your research.

Mikopo benki CRDB? Are you sure hizo hoteli zimejengwa kwa sababu ya CRDB or despite it? Kwamba bila CRDB hizo zisingejengwa? Let's stop being paranoid!

Hakuna anayezuia mtu kuweka biashara Moshi. Only it's too competitive na ni rahisi kukata tamaa kwa NEW entrant, whether a Chagga or not. It's purely business dynamics and you have to crack the market. Do your research!

Lakini niseme hii steriotyping ni common siyo kwa wachagga tu. "wameendelea", tena ni wezi, matapeli, and all sort of rubbish! Haya, sasa ni wakinga na wanyalu! The moment watu wanajitokeza wanatupiwa tope! Wao zaidi wanaitwa wachawi. Bado kidogo kanda ya ziwa na wenyewe muda so mrefu wataanza kutupiwa matope.

Kuna mentality mbaya ya kuchukia success to the extent hata ya kutaka kuwazuia wasiendelee tena, wasubiri!! That's very bad mentality, because that invites stagnation!

We cannot be living like that. Let's make inroads between groups. I repeat, we'll be fighting each at our peril! Tunaishia kupigana wenyewe badala ya kushirikiana. Mbona sijasikia wahindi, waarabu, wazungu wakilalamikia kabila? Je unaweza kufanya kazi na Mchagga, Mhindi, Mwarabu au Mzungu? Ukiweza kujibu hilo swali affirmatively, then soon utangundua huo ukabila is irrelevant and we should stop complaining about!

"You cannot help the poor by destroying the rich. You cannot strengthen the weak by weakening the strong. You cannot bring about prosperity by discouraging thrift. You cannot lift the wage earner up by pulling the wage payer down. You cannot further the brotherhood of man by inciting class hatred. You cannot build character and courage by taking away people's initiative and independence. You cannot help people permanently by doing for them, what they could and should do for themselves." By Abraham Lincoln

"what advances a nation or a community is not so much to prop up its weakest and most helpless members, but to lift up the best and the most gifted, so as to make them of the greatest service to the country." By Jamsedji Tata, Indian founder of Tata..
 
OK, Noted
The less you know the greater the Risk

Pascal should be informed that THE DREAMLINER carrying passengers to full capacity does not mean ATCL is making profits with the plane!!! In fact they could be making losses operating that route given the high operating costs of the aircraft. It is too early to shower ATCL with your congratulatory messages.
 
Mfano mzuri kujibu hoja ni sawa ununue bajaji mpya uipe root Ubungo - Msata then uje itambe humu kwamba inajaza na ina booking abilia mwaka mzima - full booked.
 
Pascal si mjinga ki hivyo; analijua hilo fika; kaandika kupima upepo pia kufikisha ujumbe kwa wahusika kusherehekea bajaji inayopiga root Ubungo - Msata full booked babaaa!!!
 
unapewaje handset for 45 minutes flight? Je hizo dream liner ulizopnda nazo zilikuwa zinafanya safari ya dakika arobaini na tano tu?about WIFI, Ninavyo jua Mimi ni Delta pekee yake inayoofa in-flight WiFi for free, KLM wanaoffer on cash basis and is very expensive, am not sure hizi ndege zetu za kuzima simu Kama inawezekana
 
ATC hasara bilioni 60!.
Taarifa ya CAG.
Kuna vitu kuna watu tulisema humu, tukanyooshewa vidole vya kukosa uzalendo!. Sasa ukweli umethibitika!.
60 billions kwa mwaka!, it's not a joke!
Duh...!.

P
 
Njooni msifie huku maana tulikuwa tukisema mnatuona sisi siyo wazalendo haya mindege hiyo ni loss after loss.
 
Njooni msifie huku maana tulikuwa tukisema mnatuona sisi siyo wazalendo haya mindege hiyo ni loss after loss.
Imejaa week nzima ila hasara 60b kwa mwaka.....hawa CCM hawa...wanaendelea kutupeleka pabaya kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…