Dreamliner imesababisha ushindani mkali baina ya mashirika ndani ya Tanzania

With such lose making airline, let's wait and see
KQ has been making losses for the past 3 years, and since the 1st year, these operating losses have been declining.

Utazidi kungoja, ndugu. Sisi twaenda marekani kila siku, tena DIRECT [emoji1]
 
my foot!

unadhani wakati unafanya promotion wenzio (wenye ndege bora kuliko this piece of trash) wanalala?

Unatia kinyaa, unaita Boeing Dreamliner ,,piece of trash” ? Kwa hiyo Muzungu aliyeunda Boeing ni ,,piece of trash” ? Na kwa nini usiiseme hiyo ,,piece of trash” kwa kikwenu Kichaga? Kwa nini utumie neno la Muzungu kama yeye ni na kazi yake ni ,, piece of trash” ?
 
my foot!

unadhani wakati unafanya promotion wenzio (wenye ndege bora kuliko this piece of trash) wanalala?
Mzee mbona kama unachanganya mambo, are you sure hili jukwaa linakufaa?
 
KQ has been making losses for the past 3 years, and since the 1st year, these operating losses have been declining.

Utazidi kungoja, ndugu. Sisi twaenda marekani kila siku, tena DIRECT [emoji1]
Hahahahaha, tunawajua ninyi ni watu wa kupenda sifa zaidi kuliko kutengeneza faida, SGR, Isiolo airport, laptop per child, Lamu port, Mombasa Nairobi highway, yote hii ni projects ambazo zimeanzishwa kupata political mileage lakini sio kibiashara, the same apply to this route, Kama KQ imeshindwa kupambana na Ethiopia airline, how can it dare to fight heavy weight airlines to US?
 
KQ has been making losses for the past 3 years, and since the 1st year, these operating losses have been declining.

Utazidi kungoja, ndugu. Sisi twaenda marekani kila siku, tena DIRECT [emoji1]
KQ has been selling planes and converting debt to equity, Thats why the loses are reducing. Kq better make its decisions if it wants to get revenue by carrying passangers or selling planes 😀
 
hiyo bitter obsession uliyo nayo vs Wachagga lazima kuna kitu kibaya hawa jamaa alimfanya mkeo au mamayo....si bure!
 
KQ has been selling planes and converting debt to equity, Thats why the loses are reducing. Kq better make its decisions if it wants to get revenue by carrying passangers or selling planes 😀
Hahaha focus on your bird. You acknowledge losses are reducing. KQ is a world-class airline nigga
 
Huu ushindani utasaidis bei zishuke na wanufaikaji watakuwa ni ss
 
kama wewe ni Mtanzania kweli na unashangilia hii misuse ya expensive "asset" like this, you need your head examined. and fast!!
Unajua maana ya asset?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…