Dreamliner sasa kusafirisha kitoweo cha Nyama ya Mbuzi Dubai

Dreamliner sasa kusafirisha kitoweo cha Nyama ya Mbuzi Dubai

Niko radhi kusahihishwa.....ninavyoelewa nyama inasafirishwa toka Mwanza kwenda DXB kupitia DAR,hivyo basi mambo yoote ya documents kama vile export permits, tfda,customs formalitiea etc hufanyika MZA na nyama husafiri pamoja na a abiria mpaka Dar.ikifika dar nyama hufaulishwa kwenye mijidege yao na huendelea na safari.Ndege yetu ina uwezo wa kubeba mzigo mkubwa saana hiyo ikipelekwa DXB moja kwa moja itakuwa hasara kwa mwenye mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread siyo ya historia; ningeshauri ihamishiwe kwenye habari na hoja mchanganyiko!
 
Back
Top Bottom