Niko radhi kusahihishwa.....ninavyoelewa nyama inasafirishwa toka Mwanza kwenda DXB kupitia DAR,hivyo basi mambo yoote ya documents kama vile export permits, tfda,customs formalitiea etc hufanyika MZA na nyama husafiri pamoja na a abiria mpaka Dar.ikifika dar nyama hufaulishwa kwenye mijidege yao na huendelea na safari.Ndege yetu ina uwezo wa kubeba mzigo mkubwa saana hiyo ikipelekwa DXB moja kwa moja itakuwa hasara kwa mwenye mzigo.