Can you please provide us with more details about the dreamliner?? I am hearing about it for the first today!!!!!
Thanx in advance
Saint Ivuga wewe mchokozi maana nimecheka mbavu zinauma huku nikilihurumia taifa langu maana hizo zilizopack Mwanza ni sawa na vibajaji kwa Dreamliner.
Ishaletwa japo Siasa zimetangulizwa mbeleSaint Ivuga wewe mchokozi maana nimecheka mbavu zinauma huku nikilihurumia taifa langu maana hizo zilizopack Mwanza ni sawa na vibajaji kwa Dreamliner.