P Political Engineer2 Senior Member Joined Feb 23, 2018 Posts 149 Reaction score 117 Mar 8, 2019 #1 Kama unajua vizuri kuendesha gari nanunayo gari au unaweza kuikodi basi karibu inbox tufanye biashara. Ndani ya week moja hadi mbili zitoshe mtu kufahamu kuendesha. Tafadhali karibu Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajua vizuri kuendesha gari nanunayo gari au unaweza kuikodi basi karibu inbox tufanye biashara. Ndani ya week moja hadi mbili zitoshe mtu kufahamu kuendesha. Tafadhali karibu Sent using Jamii Forums mobile app
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Mar 8, 2019 #2 Haya mkuu nishakuja huko inbox Sent using my nokia ya tochi
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,251 Mar 8, 2019 #3 Political Engineer2 said: Kama unajua vizuri kuendesha gari nanunayo gari au unaweza kuikodi basi karibu inbox tufanye biashara. Ndani ya week moja hadi mbili zitoshe mtu kufahamu kuendesha. Tafadhali karibu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nipe kazi mkuu wala usijali izo wiki mbili ni nyingi sana nahitaji wiki moja tu mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Political Engineer2 said: Kama unajua vizuri kuendesha gari nanunayo gari au unaweza kuikodi basi karibu inbox tufanye biashara. Ndani ya week moja hadi mbili zitoshe mtu kufahamu kuendesha. Tafadhali karibu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nipe kazi mkuu wala usijali izo wiki mbili ni nyingi sana nahitaji wiki moja tu mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app