Driclor

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
145
Reaction score
41
msaada wa kupata dawa ya driclor naomba mwenye kujua inapatikana wapi anieleze au awasiliane nami kwa pm au 0718064602 mi niko dar
 
huenda ufafanue kidogo ni dawa ya nini na inatibu nini pengine tuko nwengi tunaihitaji na ndio maana ya jamvi
 
huenda ufafanue kidogo ni dawa ya nini na inatibu nini pengine tuko nwengi tunaihitaji na ndio maana ya jamvi

kwa ajili ya under arm sweating kwa ufahamu zaidi kaigoogle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…