ninataka kuanza kilimo kwa kutumia Drip irrigation,Kenya wamefanikiwa kwa mfumo huu.Nahitaji msaada wapi naweza pata vifaa vya huu mfumo na jinsi ya kufanya installation ktk bustani ya ekari
ninataka kuanza kilimo kwa kutumia Drip irrigation,Kenya wamefanikiwa kwa mfumo huu.Nahitaji msaada wapi naweza pata vifaa vya huu mfumo na jinsi ya kufanya installation ktk bustani ya ekari
Mfumo mzuri wa kunyunyiza maji hasa sehemu maji ni hadimu. Vifaa vinavohitajika kwa kiwango kikubwa inategemea aina ya mimea utakaza(tree crop au row crops)
Pata ushauri zaidi wa vifaa(mains,laterals,pumps,source au line drippers,filters etc)kwa bwana shamba au irrigation department wilaya.