dripu ikiingia nje ya mshipa

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
dripu ikimwagikia nje ya mshipa inakuwaje tena ni ya glucose kuna tokea tatizo gani?
 
Nilivyokuelewa, ukiwekewa dripu halafu sindano ya kupitishia iwe haijawekwa vizuri kwenye mshipa wa damu au imetoka kwenye mshipa. Je?
 
Nilivyokuelewa, ukiwekewa dripu halafu sindano ya kupitishia iwe haijawekwa vizuri kwenye mshipa wa damu au imetoka kwenye mshipa. Je?

ndio je kama itakua inaenda nje kinatokea nini sehemu ya mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…