Hiyo ni SCAM mzee umeshaingia line hapo.
Komputer za sasa na OS angalau Windows 10 hauhitaji karatee zozote kupata drivers kwa asilimia 99% windows yenyewe inajua unahitaji drivers gani na inadownload yenyewe kama kuna haja, so achana kabisa na hizo downloads. Kama kuna issue yoyote ya driver kweli nenda kwenye site ya mtengeneza komputer Dell/HP/etc na download huko au site ya mtengeneza hiyo hardware.