Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Nina lap top ambayo kirus kimekuwa operating file. utaalamu wangu mdogo kwenye mambo ya compyuta umenifanya nifikie uamuzi kuwa the best solution to ku-reformat the lap top. Lakini nimegundua kuwa sina driver za lap top yangu (acer-aspire 5600).
Sasa waungwana naomba mnisaidi;
Je hiyo ni best solution kwa tatizo hilo?
Wapi naweza kupata drivers za hiyo laptop ili nimtafute fund wa kuiforma upya? (kama zinapatikana online itakuwa bomba zaid).
Sasa waungwana naomba mnisaidi;
Je hiyo ni best solution kwa tatizo hilo?
Wapi naweza kupata drivers za hiyo laptop ili nimtafute fund wa kuiforma upya? (kama zinapatikana online itakuwa bomba zaid).