Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Kwa bahari mbaya aliyeniuzia hakunipa cd ya driver (hilo nimeligundua baada ya tatizo hili). na kuseravh nilijua ni option lakini nilitaka msaada hapa kama kuna mtu anaifahamu site ambayo ni safe. Thank for you responseUse any Search Engine for drivers au kama cd iliyokuja na hiyo laptop unaweza kurestore drivers.
mkuu thanks, ngoja nichacharike, bahati nzuri na mimi nina hiyo xpMkuu driver hizi hapa,ni za XP tu.Acer Aspire 5600 Drivers for Windows XP