habari, naombeni msaada: wapi naweza pata driver software(vga,audio na ethernet controller) niweke kwenye pc ya ibm thinkcentre mt-m 8212 1su for win xp.

lakini kama c zenyewe labda utakuwa umeandika machine model yako vbaya coz nmejaribu kutafuta nimepata tabu bt nenda kwenye hizi website kama hapo utakosa