Ndio inawezekana, lakini itakubidi uwe na pesa nyingi ktk hiyo modem yako.
Hata hivyo hujasema ni drivers zipi ndio zinakosekana!!! Ebu cheki na hizi links hapa chini unaweza kupata suluhisho
Ndugu yangu uko mkoa gani wa TZ? Niko Dar kama uko hapa,Napenda ujue kuwa hizo ni kati ya shughuli zangu za kila siku.Nina njia ya haraka ya kukusaidia kwanza ili usiharibu mtiririko wa kazi. Kwa faida ya wengine wote ntapandisha link soon!
asante nitakushukuru ukiweka link, mimi hapa nipo mkoa wa mtwara wilaya ya tandahimba nawatumikia watanzania wenzangu, na pia kusaka tonge, nilikuwa hapo dar wiki iliyopita, natarajia kuwepo huko tena mwisho wa mwezi huu.