Kwa wakazi wa Arusha ni sehemu gani nzuri wanafundusha driving kama anayejua naomba anifahamishe mda pamoja na gharama
Nawasilisha
Nenda Arusha Technical College. Wapo mjini kabisaKwa wakazi wa Arusha ni sehemu gani nzuri wanafundusha driving kama anayejua naomba anifahamishe mda pamoja na gharama
Nawasilisha
Je veta njiro ipoje kaka
Ni week nne!!![emoji5]Kuna vyuo vingi tu. Inategemea wewe uko Arusha sehemu gani. Garama zina karibiana kufanana, ni kuanzia 200,000/= kwa wiki tano au sita