masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kwa wale wenzangu enthusiasts wa driving stretch ya DSM -Mbeya and beyond.
Nimewawekea clip ya sehemu za Iyovi.
Sehemu hizi inabidi upende usipende uendeshe kwa adabu, na spidi ndogo.
Uki overspeed uendeshe kwa spidi ku overtake malori bila mpango, baasi mabonde hatari na miti na mito inakukaribisha.