habari wakuu
nataka kupata kitambulisho cha magari makubwa ya abiria nitakapokuwa Dar, Dom au Zanzibar...kwa sasa nimeshapata kitambulisho cha magari madogo(kwa abiria watano-tisa) na cha pikipiki nchini China
maswali:
⒈je mwenye vitambulisho vya China ninaweza kuendesha madogo au pikipiki? au ni lazama nipate vitambulisho hivi tena nitakapokuwa Tanzania?
⒉tafadhali niambie namna ya kupata kitambulisho cha makubwa ya abiria(zaidi ya 10) jijini Dar/Dom/Zanzibar
⒊Sep. 2020 nitaenda Tanzania.
Mei. 2021 nitarudi China.
Baada ya kurudi nawezaje kutumia kitambulisho nilichopata nchini Tanzania?
Shukrani