Driving schools nyingi wana magari yamechoka

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau habari zenu

KWA utafiti mdogo niliofanya lwa kutazama pindi ninapokuwa njian kutelekeza ktk mishe mishe zangu nimeona driving school nyingi gari za kufundisha unakula body imechokaaaaa ...yaan una shangaa hii gari nayo ina faa kutembe barabarani ?

Kuna ka chuo ka wahindi kako upanga hawa jamaa Wana gari mpyaaa yaan plate no.inasoma.DN, DQ , DG kale.kachuo nikikataja dezain ninkama nitakuwa nawapa millage lkn tukikutana na gari zao yaan quality

Serikali kupitia mamlaka husika embu angalieni ivi vyuo mnavyovipa ruksa ya kutoa haya mafunzo wawe na gari ambazo zipo ktk bali nzuri
 
Upo wapi?

B1194693-88A6-45D0-B2D7-5A18DA2E7B2B.jpeg
 
Naomba nichomekee hapa hapa kwenye hii mada,, Naomba kuuliza ninashida ya leseni ya udeleva Madaraja ya chini kabisaa
Je nikisema nipite shortcut Nitatumia gharama ya tsh ngapi?

Na utaratibu ukoje
Asanteni
 
Wadau habari zenu

KWA utafiti mdogo niliofanya lwa kutazama pindi ninapokuwa njian kutelekeza ktk mishe mishe zangu nimeona driving school nyingi gari za kufundisha unakula body imechokaaaaa ...yaan una shangaa hii gari nayo ina faa kutembe barabarani ?

Kuna ka chuo ka wahindi kako upanga hawa jamaa Wana gari mpyaaa yaan plate no.inasoma.DN, DQ , DG kale.kachuo nikikataja dezain ninkama nitakuwa nawapa millage lkn tukikutana na gari zao yaan quality

Serikali kupitia mamlaka husika embu angalieni ivi vyuo mnavyovipa ruksa ya kutoa haya mafunzo wawe na gari ambazo zipo ktk bali nzu
Mbona ni bora vyuo hivyo angalau vinakuwa nayo magari mabovu. Pengine utaona ajabu kubwa kama siyo kupigwa butwaa,ukickia habari ya kuwepo vyuo kama hivyo hpa Mwanza ambavyo havina hata gari moja la kufundishia,licha kwamba vinajitangaza na viongoz wahucka wanavijua fika.

Hata cku moja hautakutana na gari lao barabaran likifundisha,ingawa ada za watu zinaliwa na parapata nying na mwisho huishia kumkatia mtu lesen na kumpa cheti

😀😀
Aisee! Hii nchi ngumu sana nyie acheni.....but regional traffic officers are there🤭🤭🤭
 
Wanafunzi wanakubali vipi kupokea cheti na leseni wakati hata barabarani hawajawahi kuingia?

Unaweza kunitajia hicho chuo hata PM kama hautojali..
Kwa janja janja yao hawapat watu wa ndan ya jiji la Mwz na badala yake wanatumia nguvu kubwa kujitangaza nje ya jiji ambako wahtaji ni wengi.

Na hivyo huweza kukusanya vijana wengi wa kutoka nje ya Mwz. Kwa ugeni wao ndan ya jiji na uelewa mdogo wanaokuwa nao,vijana huishia manung'uniko na malalamiko pasi na kujua wapi pa kukimbilia kama msaada.

Wewe km ni mhusika fuatilia ndan ya jiji la Mwz utajua. Sina hakik sn lkn nadhn kitakuwa maeneo ya Kitangir kuelekea mihama
 
Naomba nichomekee hapa hapa kwenye hii mada,, Naomba kuuliza ninashida ya leseni ya udeleva Madaraja ya chini kabisaa
Je nikisema nipite shortcut Nitatumia gharama ya tsh ngapi?
Na utaratibu ukoje
Asanteni
Leseni ya udereva haiuzwi!
Inatolewa kwa mujibu wa sheria ya usalama barabarani....nenda chuo chochote cha udereva kilichosajiliwa na serikali ulichonacho karibu ukaulizie.
 
Usipende sana shortcut kwenye maisha yako kwani always shortcut is the wrong way
 
Leseni ya udereva haiuzwi!
Inatolewa kwa mujibu wa sheria ya usalama barabarani....nenda chuo chochote cha udereva kilichosajiliwa na serikali ulichonacho karibu ukaulizie.
Naomba kujua utaratibu wa utoaji vibali vya kufungua vyuo vya udereva?.
 
Nijuavyo;
Uwe na magari yasiyopungua mawili manual gear na automatic gear + uwe na darasa moja na ofisi + mwalimu mwenye taaluma ya ualimu wa udereva.
Ukishakuwa angalau na hivyo vigezo hapo ndipo uende kwenye ofisi ya RPC kitengo cha Usalama barabarani kuonana na RTO kwa maelekezo ya ziada. KUBWA ni unatakiwa ujue ni kuwa Vyuo vya udereva vinaratibiwa na Jeshi la Polisi Tanzania idara ya usalama barabarani...nadhan nimekusaidia
 
Umenisaidia sana,nashukuru.
 
Back
Top Bottom