luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Mbona ni bora vyuo hivyo angalau vinakuwa nayo magari mabovu. Pengine utaona ajabu kubwa kama siyo kupigwa butwaa,ukickia habari ya kuwepo vyuo kama hivyo hpa Mwanza ambavyo havina hata gari moja la kufundishia,licha kwamba vinajitangaza na viongoz wahucka wanavijua fika.Wadau habari zenu
KWA utafiti mdogo niliofanya lwa kutazama pindi ninapokuwa njian kutelekeza ktk mishe mishe zangu nimeona driving school nyingi gari za kufundisha unakula body imechokaaaaa ...yaan una shangaa hii gari nayo ina faa kutembe barabarani ?
Kuna ka chuo ka wahindi kako upanga hawa jamaa Wana gari mpyaaa yaan plate no.inasoma.DN, DQ , DG kale.kachuo nikikataja dezain ninkama nitakuwa nawapa millage lkn tukikutana na gari zao yaan quality
Serikali kupitia mamlaka husika embu angalieni ivi vyuo mnavyovipa ruksa ya kutoa haya mafunzo wawe na gari ambazo zipo ktk bali nzu
160000. Ndani ya siku 3 unapataNaomba nichomekee hapa hapa kwenye hii mada,, Naomba kuuliza ninashida ya leseni ya udeleva Madaraja ya chini kabisaa
Je nikisema nipite shortcut Nitatumia gharama ya tsh ngapi?
Na utaratibu ukoje
Asanteni
Kwa janja janja yao hawapat watu wa ndan ya jiji la Mwz na badala yake wanatumia nguvu kubwa kujitangaza nje ya jiji ambako wahtaji ni wengi.Wanafunzi wanakubali vipi kupokea cheti na leseni wakati hata barabarani hawajawahi kuingia?
Unaweza kunitajia hicho chuo hata PM kama hautojali..
Leseni ya udereva haiuzwi!Naomba nichomekee hapa hapa kwenye hii mada,, Naomba kuuliza ninashida ya leseni ya udeleva Madaraja ya chini kabisaa
Je nikisema nipite shortcut Nitatumia gharama ya tsh ngapi?
Na utaratibu ukoje
Asanteni
Usipende sana shortcut kwenye maisha yako kwani always shortcut is the wrong wayNaomba nichomekee hapa hapa kwenye hii mada,, Naomba kuuliza ninashida ya leseni ya udeleva Madaraja ya chini kabisaa
Je nikisema nipite shortcut Nitatumia gharama ya tsh ngapi?
Na utaratibu ukoje
Asanteni
Naomba process muheshimiwa [emoji120]tafadhari160000. Ndani ya siku 3 unapata
Shida muda wa kwenda VETA ninakosa[emoji26], alafu ukizingatia chombo ninachokiendesha Nimzoefu saanaUsipende sana shortcut kwenye maisha yako kwani always shortcut is the wrong way
Ouk sawaLeseni ya udereva haiuzwi!
Inatolewa kwa mujibu wa sheria ya usalama barabarani....nenda chuo chochote cha udereva kilichosajiliwa na serikali ulichonacho karibu ukaulizie.
Naomba kujua utaratibu wa utoaji vibali vya kufungua vyuo vya udereva?.Leseni ya udereva haiuzwi!
Inatolewa kwa mujibu wa sheria ya usalama barabarani....nenda chuo chochote cha udereva kilichosajiliwa na serikali ulichonacho karibu ukaulizie.
Nijuavyo;Naomba kujua utaratibu wa utoaji vibali vya kufungua vyuo vya udereva?.
Umenisaidia sana,nashukuru.Nijuavyo;
Uwe na magari yasiyopungua mawili manual gear na automatic gear + uwe na darasa moja na ofisi + mwalimu mwenye taaluma ya ualimu wa udereva.
Ukishakuwa angalau na hivyo vigezo hapo ndipo uende kwenye ofisi ya RPC kitengo cha Usalama barabarani kuonana na RTO kwa maelekezo ya ziada. KUBWA ni unatakiwa ujue ni kuwa Vyuo vya udereva vinaratibiwa na Jeshi la Polisi Tanzania idara ya usalama barabarani...nadhan nimekusaidia