Driving training course!

Lughe

Senior Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
116
Reaction score
19
hi to everyone!

Jamani ivi wapi ntapata chuo kizuri kwa kujifunza driving here in DAR.
na pamoja na kupata driving license class E or D,it will cost how much and it will take how long.

thnx.
 
mkuu wangu..., si inategemea na location uliyopo! au?coz vyuo vya udereva vimetapakaa jiji zima! Bt kama unataka the quality one,nenda VETA pale utatoka ukiwa umeiva haswaaa.. Shule njema mkuu wangu...,hopefully utakua driver mzuri mwenye kuzingatia sheria zote za road...
 
mkuu kama unataka kusoma achana na issue ya leseni, utakapo maliza ndio utajua utapata daraja gani, ushauri tu uende VETA sababu hautasumbuka wakati wa kupata leseni
 
Mkuu nenda CITY Driving school wana matawi Shekilango, Mbezi ya Tegeta, na ubungo external. Hawa wamesajiliwa na VETA. Wanafundisha kwa wiki 4 na ada yao ni laki moja na sabini.
 
Mkuu nenda CITY Driving school wana matawi Shekilango, Mbezi ya Tegeta, na ubungo external. Hawa wamesajiliwa na VETA. Wanafundisha kwa wiki 4 na ada yao ni laki moja na sabini.


Many thanks La Wile for suggestion.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…