Wakuu ninataka nianze mafunzo ya driving ( usafiri wa kawaida, sio mabasi wala magari makubwa) hapo VETA chang'ombe mwezi wa saba mwishoni, je gharama zake zikoje na muda mpaka kuhitimu? Na je baada ya kuhitimu nitapata leseni?. MSAADA TAFADHALI.
HahahaaaaSi uende veta? Sometime mnakuwa wapuuzi. Kila jambo mpaka utangaze JF. Veta wana ofisi zao, wana website yao chukua namba ya simu piga siyo unajaza server tu za jf.
Gharama ya leseni ni elfu 70 toka ulipoitwa mwezi julai. Costs zote mpaka leseni zinafika 310,000 kwa sasa.240,000 haizidi hapa.. mda wa kozi inategemeana na shift kuna asbh, jioni..
Jioni ni saa 12-2 usiku..
Mda ni hauzidi mwez na nusu..
Unasubiri miez 3 kupata cheti..
Leseni ni ww mwenyw au mda mwingine wanawasaidia.. 10elfu gharam ya gari ya test traffic, 40 gharam ya leseni..
Kusoma mpk kupata leseni ni kama Miez 3-5..
OkAchana na Veta, kuna wanafunzi wengi sana pale. Gari moja mnafundishwa watu 10.
Nilimpeleka dogo katoka hajui gari
[emoji87][emoji87]Achana na Veta, kuna wanafunzi wengi sana pale. Gari moja mnafundishwa watu 10.
Nilimpeleka dogo katoka hajui gari