si tuliona kwenye game ya marudiano dhidi ya liverpool alichokifanya?
alipata nafasi 3 za ukweli, moja akaipiga ikapita mbele ya goli na hakukuwa na mtu wa kuunganisha, yapili alifunga, na ya tatu akafunga so huyo striker anayetakiwa.
sio striker anapewa nafasi 15 anafung goli 1 je huyo ni striker profesional au?