N ngony Senior Member Joined Feb 7, 2012 Posts 153 Reaction score 17 Feb 17, 2012 #1 hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo kwa torres. je wadau wa soka mnaizungumziaje hii
hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo kwa torres. je wadau wa soka mnaizungumziaje hii
TONGONI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 1,041 Reaction score 375 Feb 17, 2012 #2 Torres alifunga magoli mangapi wakati Drogba alipokuwa anashiriki ACN?
M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Feb 18, 2012 #3 torres na drogba ni majoka ya KIBISA