Drogba vs Aguero vs Rooney, Yupi ni 1, 2 na 3?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Hawa ni miongoni mwa the best strikers kuwahi kutokea katika historia ya soccer.

Bila ushabiki wa team husika na mchezaji husika, ni striker yupi kutokana na ubora wake atashika nafasi ya 1, 2 na 3?
 
Achana na Drogba! Hapo Hana mpinzani!! Anawaacha wenzake kwa mbali!! Anayefuatia hapo ni Rooney na Aguero wa mwisho!!
Drogba ni pure striker aina ya kina Ronaldo orignal (yule wa Brazil)!
 
Samahani mkuu unaweza kusema drogba kawazidi nini Kwa mbali hao wapinzani wenzake hapo juu?

Na kama hutojali unaweza nijuza umetumia vigezo gani kumlinganisha Drogba na Delima?
 
Hawa ni miongoni mwa the best strikers kuwahi kutokea katika historia ya soccer.

Bila ushabiki wa team husika na mchezaji husika, ni striker yupi kutokana na ubora wake atashika nafasi ya 1, 2 na 3?
Hapo kwa maoni yangu ni kwamba tunakosea kumlinganisha Wayne Rooney na hao ma central striker, jamaa amecheza Sana kama kiungo na sio striker

Nadhani battle ingekuwa Kwa Drogba na kun Aguero, Kwa maoni yangu kun Aguero kamzidi Drogba vitu kadhaa na Drogba kamzigi Aguero vitu kadhaa

Drogba kamzigi Aguero nguvu na pia uwezo wa Kufunga magoli ya vichwa, ila Aguero kamzidi Drogba stamina,uwezo wa kufunga Kwa miguu yote,unyumbulifu na uwezo wa Kuconvert half chances kuwa goal

Kitu kikubwa ambacho Drogba anacho na nakiona ni Very special kuliko wachezaji wengi, ni uwezo wake wa Kufunga katika game zile muhimu na Kufunga magoli muhimu, mfano Kufunga katika finals na ata big matches

Kwakuwa tunaringanisha strikers basi mwisho wa siku kitakachoamua ni statics zao, na upande wa statistics Aguero was far much better kuliko African Giant Drogba na mastriker wengi Sana pale EPL, labda hawezi kuwafkia kina Chogo na Alan Tu

Mtazamo Wangu
 
Hawa ni miongoni mwa the best strikers kuwahi kutokea katika historia ya soccer.

Bila ushabiki wa team husika na mchezaji husika, ni striker yupi kutokana na ubora wake atashika nafasi ya 1, 2 na 3?

SAMUEL ETOO FILS
 
Acha kumfananisha Drogba na vitu vya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…