Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hahaha eti pasi za mtaa kwa mtaa. Nafikiri zile alikuwa akimuiga Paul Scholes. Wazza ni complete package. Hakuwa na kipaji kikubwa sana ila alikuwa ni mpambanaji wkwa asilimia 100. Kwakifupi ni mfia timu.WAYNE MARK ROONEY
Binafsi namkubali sana hadi leo, alikua anacheza kama mshambuliaji, kama kiungo, ana asist, anafunga, anapiga zile pasi za mtaa kwa mtaa, anakaba.
#Wazza #TheWhitePelle
Yah, nakuunga mkono hoja yakoRooney yupo mbali sana ya drobga. Drogba alikuwa mviziaji wakati rooney kasoro kuwa golikipa tu
Sawa mkuu, mfano mimi ni mshabiki wa Leeds Utd ila namkubali sana fundi wa kiitaliano anayekipiga darajani, Jorginho.Sikuwa mshabiki wa timu zao, ila Rooney ni Shida
A man for big occassion! Nani hakumbuki lile goli lake la kusawazisha dhidi ya Bayern Munich katika fainali ya UCL. Kisha dakika chache baadae akaenda kupiga penati ya ushindi, Chelsea wanatwaa ndoo!Didie drogba nilipenda cos alikuwa mchezaji kwa ajili ya mechi kubwa
Sawa mkuu tunaheshimu mawazo yako, Drogba alikuwa mshambuliaji wa aina yake. Hata Nemanja Vidic analitambua hilo.Rooney alikuzwa tu kwa vile ni muingereza, kuwepo kwa Ronaldo Man u kulichangia yeye kuwa mchezaji mzuri,Kwangu mimi Didier Drogba ni zaidi ya Rooney.
Iko hivi, drogba angekuwa mzungu angepewa heshima yake n rooney angekuwa mwafrika tusingesikia lolote kuhusu yeye maana hata etoo kamzidi sana.Kwa nyakati fulani, hawa walikuwa mastraika tegemeo kwenye vilabu vyao. Didier Drogba "The African James Bond" akiwa tegemeo kubwa pale Chelsea ilhali Wayne Rooney "Wazza" a.k.a "The White Pele" akiwa muhimili wa mafanikio Man Utd.
Nyakati zimekimbia, Drogba ameshastaafu soka la ushindani wakati Rooney yupo akimalizia soka lake huko Marekani.
Kama uliwahi kuwashihudia mastaa hawa wakitamba EPL na UEFA, tuweke ushabiki wa vilabu vyetu kando, yupi ulimkubali sana?
View attachment 1263016View attachment 1263017
Iko hivi, drogba angekuwa mzungu angepewa heshima yake n rooney angekuwa mwafrika tusingesikia lolote kuhusu yeye maana hata etoo kamzidi sana.
Muulize mleta uzi kwa nini kaleta huu uzi! Kama alijua ni rooney basi haikuwa na haja ya kuweka uzi humu.Acha hizo mkuu, Pele Ni mweusi na alikuwa, vipi kuhusu Eusebio na Weah
Naomba nikuulize kati ya Eto na Drogba nani zaidi?
Wenzetu wana mifumo mazuri na watu wanaishi dream zao, Adebayor alisingizia kulogwa, ya Eboue unayafahamu pia?
Muulize mleta uzi kwa nini kaleta huu uzi! Kama alijua ni rooney basi haikuwa na haja ya kuweka uzi humu.
Hayo ni mawazo yangu.
Hiv drogba Naye alikuwa mchezaji kumbe ????...Usimfananishe King Drogba na Rooney ..uyo uingereza ulim'beba...
Mpaka anafikia kuitwa King ..sio kazi ya kitoto ..
Live long Lengend Didier Drogba King...
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]