Drogba Vs Rooney: Katika Ubora Wao Ulimkubali Yupi?

Acha hizo mkuu, Pele Ni mweusi na alikuwa, vipi kuhusu Eusebio na Weah

Naomba nikuulize kati ya Eto na Drogba nani zaidi?

Wenzetu wana mifumo mazuri na watu wanaishi dream zao, Adebayor alisingizia kulogwa, ya Eboue unayafahamu pia?
Kitendo tu cha kuzaliwa ulaya tiar wewe ni mzungu hata kama una ngozi nyeusi

Kwahiyo huyo pelle alikuwa ni mzungu ingawa ngoz yake ilikuwa nyeusi
 
Rooney alikuzwa tu kwa vile ni muingereza, kuwepo kwa Ronaldo Man u kulichangia yeye kuwa mchezaji mzuri,Kwangu mimi Didier Drogba ni zaidi ya Rooney.
Alikuzwa? Angalia top scorer wa premier league top scorer wa timu ya taifa ya uingrereza top scorer wa manchester united unawezaje kusema alikuzwa?
 
Wengine humu wanaongozwa na hisia sio uhalisia rooney kamuacha mbali sana drogba fikiria kwa umr ule miaka ile anaingia kwenye timu kubwa moja kwa moja kikosi cha kwanza halafu mtu wanaemjadili na mfungaji wa pili wa muda wote wa ligi kuu ya uingereza
 
Msisahau lakin katika huu mjadala top scorer wa chelsea ni frank lampard sasa mtajua hapo kiungo anakuwaje mfungaji bora wa muda wote wakat timu ina striker wakat kule rooney ni top scorer wa manchester united kafunga goli 250
 
Alikuzwa? Angalia top scorer wa premier league top scorer wa timu ya taifa ya uingrereza top scorer wa manchester united unawezaje kusema alikuzwa?
Kukuzwa na media kama timu yao ya taifa inavyokuzwa wakati in reality ENGLAND ni timu ya kawaida tu.
 
Kukuzwa na media kama timu yao ya taifa inavyokuzwa wakati in reality ENGLAND ni timu ya kawaida tu.
Mfungaji bora wa muda wote national team mfungaji bora wa muda wote manchester united mfungaji bora wa pili wa muda wote ligi kuu ya uingereza anakuzwaje?
 
Kwahiyo umeuliza swali ukiwa na jibu lako?

Naona mashabiki wa mwanitesa united mnajifariji

Endeleen
Hivi unajua kama drogba hayupo hata top 10 ya wafungaji bora wa ligi kuu ya uingereza? Huyo alikuwa ni mshambuliaji gani kama hata top ten hayupo? Yaani hata scholes yupo juu yake kwa wingi wa magoli halafu mnampambanisha na rooney acheni utani
 
Wayne Rooney ni zaidi ya Drogba pamoja nakucheza nafasi ya foward na attacking midfielder nyuma ya striker akafanikiwa kuwa second top score in PL pamoja na timu yake ya Taifa. Kama angekuwa anachezeshwa striker angekuwa bora zaidi na kuweza kushinda hata Balon D’or
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…