Drogba ni binadamu kama binadamu wengine hasira alizokuwa nazo ni haki yake maana yule refer alibowa sana maana amewakosedha Chelsea penati napi tena za wazi kabisa, me nahisi alihongwa na barcelona si bure. Inekuwa mie ningemuweka na vibao kabisa kama noma naiwe noma kawanganya chelsea tonge mdomoni.
Mbu uko biased kama magazeti ya UK. Nnachokiona hapa ni ubaguzi wa rangi, hamna cha ziada. ..Wengine si wapenzi/mashabiki wa mpira wa miguu.
Alichofanya kaka DROGBA wanafanya wengi ila kwakuwa ni black from AFRICA imekuwa taabu kwelikweli....Drobga alichofanya ni kumzongazonga mwamuzi na sidhani kama alimgusa. Kumzonga mwamuzi kwenye ile mechi karibu wachezaji wote wa Chelsea na Barca (kabla hawajapata bao) walifanya.
Mimi huwa siimbi kiitikio chanyimbo zinazoanzishwa na haya magazeti ya UK, huwa yanatengeneza mabifu na hii si mara ya kwanza. Na mara hii watampata huyu kwa sababu ya rangi yake.
MBU unamchukia huyo jamaa sababu kila akicheza na Gunners anawapiga bao pamoja nayote aliyofanya jamaa anawabeba sana Chelsea
This is being blown out of proportions na media za wazungu tu, Drogba's aggression was only verbal wakati aggro la Ballack lilikuwa ni physical kabisa, he chased and touched the ref. repeatedly! but no one is saying anything about it!
Labda mimi ninachoweza kumlaumu Drog ni jinsi ambavyo reputation yake ya ku dive ilivyowa cost Chelsea, marefa wote wanajua jamaa ni drama queen so hata foul ikiwa genuine wanakuwa hawana uhakika kama jamaa amechezewa rafu au kajirusha tu, ndo mana incidents zake nyingi ndani ya box marefa hawatoi penati.
Waafrika bwana! kila kitu ubaguzi wa rangi!
Hivi kwenye mambo ya mpira wachezaji wakianza kuleta mambo ya "emotions" ni mechi ngapi zitaisha salama? tumeona mara nyingi tu timu mbalimbali zikinyimwa penalti au zingine zikipewa penalti hewa lakini wachezaji wanacontrol "emotions" zao. Chinga Drogba alitakiwa awe na uwezo wa kucontrol hizo "emotion" zake kama walivyofanya Cole, Check, Baleti na wenzao.
Sitaona ajabu wanaomtetea Grogba kwa kisingingizio cha "emotions" walimtetea pia Tyson alipoondoka na kipande cha sikio cha Evanda kwwa madai eti Tyson alikuwa na emitions baada ya refa kutomchukulia hatua yoyote Evanda kwa kumpiga "vichwa" Tyson.
Acheni kutetea ujinga wa mtu kwa kisingizio cha emotions na ubaguzi wa rangi.
...ulitaka ajicontrol vipi zaidi ya pale???? yani asifanya lolote augulie tu moyoni sababu cole na lampad nao wamefanya hivyo??? no way!!!! angepata shida!!
....hivi kulikuwa kuna haja kweli Drogba baada ya 'saka-saka' lile kugeukia Tv-Camera (knowing millions of people around the globe are watching) kuanza kusema hovyo? ...kama sio u-drama Queen ni nini?
Kilichomkamatisha Drogba ni ile 4-letter rant, aka f-word!;
" It is a Disgrace, it is a f****** Disgrace!" ...huh, Didier kwa mbwembwe naye,...si angetukana kikwao tu, nani angejua 'baule'? 😀
F-word hata marefa wa UK premiership wanalitumia mkuu..mara nyingi mfano, (msinitoe macho washabiki wa) Man U wakipewa dubious penalties vs Spurs, akina Howard Webb wakiulizwa kulikoni majibu yao ndio huwaga :..F***-OFF !! lol
...mkuu wakunyuti, unakubali Cole na Lampard hawaku react kama Drogba, lakini wakati huo huo unakubaliana naye ('kujifanya') ku overreact, huoni hilo ni tatizo?[/QUOTE
Sikubaliani na unavyosema KUJIFANYA KU OVERREACT , na hapo ndipomnapokosea na ndio chanzo cha mambo yote..mnavyomuona uyu bwana ni mtu wa kufake fake tu na hayuko real.....mimi naamini alikua real na hakujifanya kuoverreact ..bwana Mbu...
Drogba ni hot cake na Waafrika inatupasa tujivunie kipaji cha mshkaji. Nimeskia Real Madrid wameshatenga kitita kumnyakua jamaa kabla hata ya ile gemu iliyojaa vimbwanga.
hey... STOP.. kweli lakini sio kujivunia kwa matusi mkuu hapa hatupo pamoja kabisa. Report inasema jamaa mpk kwenye Tunnel alikuwa bado anamtukana refa nini sasa cha kujivunia hapa. Yaani alichofanya kweli ni binadamu lakini ulimwengu mzima ulikuwa unaangalia. Sikuona logic ya yeye kuigeukia camera na kuanza kuongea ina maana kabisa kichwani mwake alikuwa anajua anachofanya na alijua kwamba watu wanamwangalia. He is Stupid...yes i mean it... Stupid of them all
YouTube - Didier Drogba loses his head!
Sikubaliani na unavyosema KUJIFANYA KU OVERREACT , na hapo ndipomnapokosea na ndio chanzo cha mambo yote..mnavyomuona uyu bwana ni mtu wa kufake fake tu na hayuko real.....mimi naamini alikua real na hakujifanya kuoverreact ..bwana Mbu...
Hivi ni dhambi mtu kupata hasira wakati ukihisi haukutendewa haki?
Labda urudie kusoma tena unachokinukuu maana kipo clear..labda kama una mengine.
....hahahahah... sina mengine mkuu nimekuelewa sana kwamba real wanamtaka ........ lakini point yangu inabaki kwamba jamaa alichemsha na hakuna cha kujivunia. Karibu tena