teh teh..kweli naona kweli hukuelewa..nilichosema ni kuwa tujivunie kipaji chake..(nadhani umeona hio bold)..lol
Kama hangekuwa na kipaji the mzunguz wangeshamfuta kazi siku nyiingii..oh..no hata VISA asingepata.. hata hivyo jamaa nadhani amezaliwa na kukulia Paris hivyo hamna 'kitimoto' wa kumzingua..got money in the bank na kipaji anacho..na mjeuri vilevile!
aurevoir..
Mpira sio kipaji peke yake na nidhamu pia.......drogba apewe adhabu inayostahili kama kutimuliwa atimuliwe klabuni asiwaambukize watoto wazuri kama Essien....hata yanga tungempuga
Hawa UEFA nao wameishiwa, kwanini wamemfungia Drogba na Bosingwa tu? Ballack hajaguswa kabisa? Halafu eti fine £85,000? Kwa Abramovich hivi si vijisenti tu?