Drone ya Kijasusi ya US imepotea kwenye rada huko Black Sea

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Drone ya upelelezi ya US imepotea kwenye rada wakati ikiendelea na jukumu la Kijasusi huko bahari nyeusi. Wachunguzi wa mambo wanasema Russia ameishusha na kupeleka kusikojulikana.

#BREAKING: US drone Global hawk flying over black sea to collect intelligence of Russian naval fleet, got disappeared from the radar.
—Current Report
 

Attachments

  • IMG_20240615_085004.jpg
    38.6 KB · Views: 1
hali ya ukungu inaendelea
 
The Giants wameshaichukua hiyo!@Russia
 
Umefurahi eeeeeeh
 
Uwezi kupata majibu kwa wanaofikiri kwa kutumia hisia na dini badala ya kutumia Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…