Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Robo fainali iko wapi
Umeishia kidato cha ngap ndugu yangu?Robo fainali iko wapi
Weka vizuri kumbukumbu zako, hakuwa na simba kipindi hicho. UTOPOLO bhna[emoji2958]View attachment 2552463
Wametukomoa mara hii. Tukipenya kwa IHEFU mwamba AZAM huyu hapa. Tukipona hapo baba lao UTO ndani ya nyumba.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wametukomoa mara hii. Tukipenya kwa IHEFU mwamba AZAM huyu hapa. Tukipona hapo babao UTO ndani ya nyumba.
Kazi tunayo.
Tuombe UTO agongwe na GEITA au SINGIDA BS.
Mwaka huu mtaishia tu kusherehekea Chama kuwa mchezaji bora wa wiki wa CUF ya Lipumba, Fei Toto kugomea mazoezi Yanga, nk.Wametukomoa mara hii. Tukipenya kwa IHEFU mwamba AZAM huyu hapa. Tukipona hapo babao lao UTO ndani ya nyumba.
Kazi tunayo.
Tuombe UTO agongwe na GEITA au SINGIDA BS.
Hiyo droo iliyowekwa hapo juu ndiyo ya Robo fainali. Nusu fainali itatokana na matokeo ya hizo timu katika michezo yao ya hiyo Robo fainali.Robo fainali iko wapi
Kama hajakuelewa na hapa sio kosa lako broHiyo droo iliyowekwa hapo juu ndiyo ya Robo fainali. Nusu fainali itatokana na matokeo ya hizo timu katika michezo yao ya hiyo Robo fainali.
Sijui umeelewa!!
Weka vizuri kumbukumbu zako, hakuwa na simba kipindi hicho. UTOPOLO bhna
Bbc swahili imeanza 2010 acha ubwabwa[emoji2958]View attachment 2552463
Unaombea matatizo
BBC Swahili imeanza 2010?Bbc swahili imeanza 2010 acha ubwabwa
Naona umekosa cha kukoment ukaamua kuleta huu utumbo[emoji2958]View attachment 2552463
AhaahaahNaona umekosa cha kukoment ukaamua kuleta huu utumbo
Umezaliwa mwaka gani nataka nijue najadiliana na mtu wa aina ganiBbc swahili imeanza 2010 acha ubwabwa
Kuomba kukutaka na ww ni furaha kubwa kwangu,uhakika wa kombe ni 100%Unaombea matatizo