Mnatoboa timu ipo strong sanaR.madrid msimu huu tuko form Sana, ila kwa mpinzani uyu.
Tumepigwa na kitu kizito Sana[emoji17]
SHUGHULI NI PEVU
Kazi nzito,Mnatoboa timu ipo strong sana
Mkuu punguza jazba huu sio uchaguzi wa 2020!Hii haikubaliki kabisa huu ni uhuni wa Hali ya juu
PSG sio tishio... bayan ni balaa!Kazi nzito,
psg na Bayern kwa ulaya ya sasa.
Ni timu tishio sana
PSG wepesi sana mbele ya MadridR.madrid msimu huu tuko form Sana, ila kwa mpinzani uyu.
Tumepigwa na kitu kizito Sana[emoji17]
SHUGHULI NI PEVU
Unatajaje timu tishio halafu LIVERPOOL haipo. Au ni bahati mbaya mkuu.Kazi nzito,
psg na Bayern kwa ulaya ya sasa.
Ni timu tishio sana
Wameshapanga matokeoHii haikubaliki kabisa huu ni uhuni wa Hali ya juu