shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Wadau poleni na kazi. Nilikuwa nauliza droo ya shirikisho na club bingwa itafanyika lini hatua ya robo.
Uzi tayari. Kwa wanauto kaeni kwa kutulia.
Uzi tayari. Kwa wanauto kaeni kwa kutulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaka kimebadilishwa sasa hivi?Hata kama tumetolewa ila mwakarobo ni mwakarobo tu.
Nimekaa pale.
HHata kama tumetolewa ila mwakarobo ni mwakarobo tu.
Nimekaa pall
Haujatoa jibuHata kama tumetolewa ila mwakarobo ni mwakarobo tu.
Nimekaa pale.
Mwakakundi....Hata kama tumetolewa ila mwakarobo ni mwakarobo tu.
Nimekaa pale.
Unauliwa kiichaka cha caf ranking ushakifyeka?Hata kama tumetolewa ila mwakarobo ni mwakarobo tu.
Nimekaa pale.