Droo ya makundi ya CAF Confederation Cup kufanyika Jumamosi ya April 21

Droo ya makundi ya CAF Confederation Cup kufanyika Jumamosi ya April 21

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
DRAW YA CAF CONFEDERATION CUP

-Draw ya makundi ya Caf Confederation Cup kufanyika Jumamosi ya April 21 saa8:00 mchana makao makuu ya CAF Cairo Misri

-Timu 16 zilizofuzu ni,

1-USM Alger(Algeria)
2-Al Hilal(Sudan)
3-AS Vita (DRC)
4-Enyimba (Nigeria)
5-Asec Mimosas(Ivory Coast)
6-Yanga SC(Tanzania)
7-CARA brazavile(Congo)
8-Williamsville (Ivory Coast)
9-Al Masry (Egypy)
10-Aduana Stars(Ghana)
11-Gor Mahia(Kenya)
12-Djoliba(Mali)
13- RajaCasablanca(Morocco)
14- RS Berkane (Morocco)
15-UD songo(Mozambique)
16-Rayon sports (Rwanda)


Yapi maoni yako mwanajangwani mwenzangu?

Yanga daima mbele nyuma mwiko
 
nimekimbilia nikajua profesa lipu kaitisha mkuta na waandishi wa habar
 
Aiseee kazi ipo.

Hapa kale ka usemi ka wale ndugu zetu wa Mara ndio kanachukua nafasi "Siku zote vita ni vita MURA" hakuna kuhofia yeyote tutakayepangiwa ndio itakuwa halali yetu.

Kikubwa kujipanga tu na maandalizi yaliyo mazuri ndio dawa hapo.
 
Back
Top Bottom