Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa na Shirikisho 2025

Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa na Shirikisho 2025

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Habari wadau nauliza tu droo nilini mbona kimya.

==
Kwa sasa, Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) bado halijatangaza rasmi tarehe za droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2024–25.

Hata hivyo, kulingana na ratiba ya mashindano, mechi za robo fainali zimepangwa kama ifuatavyo:

Ligi ya Mabingwa Afrika:

  • Mechi ya Kwanza: Machi 28–29, 2025
  • Mechi ya Marudiano: Aprili 4–5, 2025
Kombe la Shirikisho:

  • Mechi ya Kwanza: Machi 30, 2025
  • Mechi ya Marudiano: Aprili 6, 2025
Kwa kuzingatia tarehe hizi, droo ya robo fainali inatarajiwa kufanyika mapema katikati ya Machi 2025. Kwa mfano, msimu uliopita, droo ya robo fainali ilifanyika Machi 12, 2024.
 
Hito kazi waachieni yanga watatuletea tu habari, Ila kwa Utabili wangu nin Simba Vs Asec
 
Habari wadau nauliza tu droo nilini mbona kimya.

==
Kwa sasa, Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) bado halijatangaza rasmi tarehe za droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2024–25.

Hata hivyo, kulingana na ratiba ya mashindano, mechi za robo fainali zimepangwa kama ifuatavyo:

Ligi ya Mabingwa Afrika:

  • Mechi ya Kwanza: Machi 28–29, 2025
  • Mechi ya Marudiano: Aprili 4–5, 2025
Kombe la Shirikisho:

  • Mechi ya Kwanza: Machi 30, 2025
  • Mechi ya Marudiano: Aprili 6, 2025
Kwa kuzingatia tarehe hizi, droo ya robo fainali inatarajiwa kufanyika mapema katikati ya Machi 2025. Kwa mfano, msimu uliopita, droo ya robo fainali ilifanyika Machi 12, 2024.
Inasubiriwa rufaa ya Yanga dhidi ya MC Alger,maana Uto wamekata rufaa wakilalamikia upotezwaji wa muda uliofanywa na wachezaji wa MC Alger kwenye mechi ya marudiano
 
Shirikisho hakuna droo mkuu mnachaguana tu, mimi nitacheza na wewe akikataa unamchagua mwingine.
 
Back
Top Bottom