sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Umegonga pale pale, nice.Mimi napendelea draw iwe hivi:
1.Roma Vs Barcelona
2.Bayern Vs Sevilla
3.Manchester City Vs Liverpool
4.Madrid Vs Juventus
Mwaka huu naona kabisa chama langu barca anachukua UEFA
wewe jamaa bangi sio Chakula ujue """ DaaahhhKwa hizo timu zote zilizopita hapo na kwa mpira anaocheza Liverpool, nampa nafasi kubwa sana ya kufika mbali akipangiwa na timu yoyote hapo.
Tumeuona mpira waliocheza Juventus umekuwa wa kujilinda sana hasa akipata goli.
Barca wako wepesi sana kama ukiwamiliki katikati ya uwanja, na ukimpita Umtiti tu hao wengine hawana jipya.
Bayern nao ugonjwa wao kama Barca tu.
Roma hana spidi sana ya kufanya maajabu mbele ya Liverpool.
Madrid timu yao haina maajabu zaidi ya bahati tu, mashambulizi ya kustukiza pamoja na ubora wa Ronaldo katika kufunga unawabebà sana.
Sevilla anaweza akamsumbua Liverpool ila safari hii kama wakikutana tena basi mwisho wa Sevilla ni hapo.
YNWA...
Tukutane fainali.
hahaaaLiverpool vs Man city endelea kuota, Ulaya sio Bongo.. Safari ya liver imeishia hapa.
Hakuna wa kumfunga man city pale..na liver angebabaishwa labda na bayern tu..hao mbuzi wengine wote liver akiyakamia maji hawatokiyaan tena ushukuru angalau Epl itapata team moja nusu fainali..
maana wangekutanishwa na team nyingine huenda wangetoka woote
Atletico hakuwepo?..imekuaje kaenda europamkuu achana na wahispania bhana sasa kama Man U wenyew wanafungwa nyumban na sevilla hamna jinsi yankuzisadia timu za EPL
Alafu wewe ndo unasema liver angeweza kuwatoa Barca au Madrid na Bayern?Atletico hakuwepo?..imekuaje kaenda europa
Nashangaa mwamba wa la liga kucheza yuropaAlafu wewe ndo unasema liver angeweza kuwatoa Barca au Madrid na Bayern?
Kumbe hata hujui kama atletico huko Europa!
Hakuna wa kumfunga man city pale..na liver angebabaishwa labda na bayern tu..hao mbuzi wengine wote liver akiyakamia maji hawatoki
Real Madrid safari yenu imeishia kwa Juventus kwenye hatua hii ya mtoano kihistoria Madrid kaondolewa Mara kibao Mara ya mwisho Madrid aliondolewa nusu fainali na Juve ikiwa na wakina Morata,Pogba,Tevez n.k na fainali juve akacheza na BarcelonaNusu fainali ileeeee...halla Madrid,lkn UEFA sio poa yani watu tumetoka kuwadhalilisha fainali hapo juzi kati tu leo mnatupa tena!!!walivyo wabishi hao watafia uwanjani safari hii
Team unayoizungumzia imechukua kombe hili mara mbili na robo kuliko Barcelona Mara tatu na nusu kuliko juve hawa walianzishwa kuchukua UEFAReal Madrid safari yenu imeishia kwa Juventus kwenye hatua hii ya mtoano kihistoria Madrid kaondolewa Mara kibao Mara ya mwisho Madrid aliondolewa nusu fainali na Juve ikiwa na wakina Morata,Pogba,Tevez n.k na fainali juve akacheza na Barcelona
Real Madrid safari yenu imeishia kwa Juventus kwenye hatua hii ya mtoano kihistoria Madrid kaondolewa Mara kibao Mara ya mwisho Madrid aliondolewa nusu fainali na Juve ikiwa na wakina Morata,Pogba,Tevez n.k na fainali juve akacheza na Barcelona
Kivipi .....!!!!???Duuh London wanamalizana wenyewe
Lkn Madrid hii imekuwa siku zote ya kuvunjika miiko...tunamto kwenye knockout safari hiiReal Madrid safari yenu imeishia kwa Juventus kwenye hatua hii ya mtoano kihistoria Madrid kaondolewa Mara kibao Mara ya mwisho Madrid aliondolewa nusu fainali na Juve ikiwa na wakina Morata,Pogba,Tevez n.k na fainali juve akacheza na Barcelona
Kwao waliwapiga ngapi?
mliwafunga 4-3 na mlikuwa mnapumulia mashine, tuwe wakweli, filimbi ya refa iliwaponya! So kwa away goals nani angesonga??
Na kwa taarifa tu ni kwamba Barca hajawahi kumsumbua Liver.Barcelona hii ya juzi,kwangu mimi bado inanipa wasi wasi.
And you're stuck in that history?Na kwa taarifa tu ni kwamba Barca hajawahi kumsumbua Liver.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]Mimi arsenal pia, sina hamu na hizi draw! Ndio timu wanatupaga.