bashite kaya
Senior Member
- Jan 15, 2018
- 128
- 48
Mmepangwa pamoja na Mashujaa Kigoma FC, Green Worriers FC na Mbao FC!Hellow wanamichezo mwenye ratiba CAF anijuze kundi la wekundu wa msimbazi
Sent using Jamii Forums mobile app
nimecheka sanaKundi E
Simba SC
Green Worriers
Mashujaa FC
Mbao FC
Mbao mbabe wa yanga toka wajuane CCM kirumbaMmepangwa pamoja na Mashujaa Kigoma FC, Green Worriers FC na Mbao FC!
Umesahau hamjawahi kumkalisha mbao kirumba?Kundi E
Simba SC
Green Worriers
Mashujaa FC
Mbao FC
JF kuna vichwa hadi raha. HahaaaKundi E
Simba SC
Green Worriers
Mashujaa FC
Mbao FC
Watalia mnoMmepangwa pamoja na Mashujaa Kigoma FC, Green Worriers FC na Mbao FC!
Mkuu tulia kidogo, ni Draw na sio DrowHellow wanamichezo mwenye ratiba CAF anijuze kundi la wekundu wa msimbazi
Sent using Jamii Forums mobile app