Drunkard boy to be President of North Korea!

Drunkard boy to be President of North Korea!

kimatire

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2008
Posts
371
Reaction score
94
North Korea's Kim Jong Il has anointed his 26-year-old son -- said to be competitive, proficient in English and a heavy drinker -- as the next leader of the communist state, news reports said Today.
 
Labda atakuwa ameshaacha. Nasikia Uhuru Kenyatta naye siku hizi kapunguza kilauri.
 
Watoto wengi wa viongozi wa Nchi ni "heavy drinker" aka "alcoholic" kama Masanilo. Huna haja ya kuwa-list ila naamini kila mmoja anatambua hilo! na jamii "inalikubali"
 
...duh, huko north korea utawala wao kama wa kisultani sasa, Kim Il Sung, Kim Jong Il, na sasa ni kati ya wanawe ...Kim Jong Chul/Kim Jom Woon au kim Jong nam! kaazi kweli kweli 😡
 
Hakuna teeeena test ya makombora ya Nuklia, saivi vitu live live tu...
 
another presidential monarchy!!!!
 
Wadanganyika tusidhani kwetu hakuna hayo.
Zenji wamesha mtilia dole gumba Karume (mtoto wa), atakayefuata ni mjukuu!
Zanzibara tukumbuke hadi sasa wanapikwa:
mtoto wa Kawawa
mtoto wa mwinyi n.k.

Jiulizeni ikiwa Dr Mwinyi ni waziri wa ulinzi, mbona hakuna comment zake wala kuhusishwa kwenye mabomu ya MBAGALA?!?
Kwa nini hakuna chochote (unless sijui, pls help!) kinachomhusisha na utekelezaji mbaya wa majukumu yake? Ikiwa wananchi kibao wamekufa / wamepoteza maisha yao, ni nini inabidi kitokee ili wahusika wachukuliwe hatua za kisheria?
 
North Korea's Kim Jong Il has anointed his 26-year-old son -- said to be competitive, proficient in English and a heavy drinker -- as the next leader of the communist state, news reports said Today.

hahaa... Ras, do we know if dad isn't a heavy drinker himself? he can be quite a character himself... and that bad hairdo or toupee, mh... Jah knows
 
Back
Top Bottom