Wadanganyika tusidhani kwetu hakuna hayo.
Zenji wamesha mtilia dole gumba Karume (mtoto wa), atakayefuata ni mjukuu!
Zanzibara tukumbuke hadi sasa wanapikwa:
mtoto wa Kawawa
mtoto wa mwinyi n.k.
Jiulizeni ikiwa Dr Mwinyi ni waziri wa ulinzi, mbona hakuna comment zake wala kuhusishwa kwenye mabomu ya MBAGALA?!?
Kwa nini hakuna chochote (unless sijui, pls help!) kinachomhusisha na utekelezaji mbaya wa majukumu yake? Ikiwa wananchi kibao wamekufa / wamepoteza maisha yao, ni nini inabidi kitokee ili wahusika wachukuliwe hatua za kisheria?