Dry lips

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,553
Reaction score
3,081
Habari zenu wakubwa,

Jamani mimi mwenzenu katika hizi siku kama 3 hivi nimepata tatizo la ukavu kwenye lips na sometimes nahisi kuna burning feeling.

Naomba nisaidieni inasababishwa na nini najaribu kunywa maji lakini wapi.

Please assist
 
Inawezekana hunywi maji ya kutosha.
 
Labda umepata infection au allergy reaction.
Fikiria vitu/kitu kipya ambacho umekula, jipaka mdomoni lately. . .
 
Yaani wewe ni siku tatu 2 mimi ni miaka na miaka haisikii mafuta wala anykind of lip balm sa hv napaka vitamin e ndio angalao au kama una siagi ila vitamin e kumeza au kupaka is best,
 
Taitizo hata mkipewa ushauri hamfatilii. Andika no yako ya simu uelekezwe. Ukikaa imya shauri lako
 
Taitizo hata mkipewa ushauri hamfatilii. Andika no yako ya simu uelekezwe. Ukikaa imya shauri lako

Umejueaje hawafuatilii ushauri mkuu?? Huwezi muelekeza hapa kwa faida ya wote??
 
ukosefu wa vitamini, kamuone dk.
 
Unique, tuambie basi ni nini naona unalaumu kwanza badala ya kutoa msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…